Soudy Brown leo kasikika akimuhoji aliyewahi kuwa Miss Tanzania Sitti Mtemvu kuhusu kuwa karibu na msanii Mwana FA.
Mwenyewe amedai wamewahi kukutana na
anamchukulia kama rafiki wa kawaida huku akikana madai ya kuwa na
uhusiano naye na kutoka pamoja kwenda kwenye kisiwa cha Mbudya wakiwa pamoja na msanii mwenzake AY.
Pia Sitti amesema amekua akiwakubali sana msanii Shetta na Diamond huku
akisema Mwana FA na AY wamekuwa wakifanya vizuri kwenye muziki toka
zamani.
0 comments :
Post a Comment