Exclusive:Planet Bongo ya EATV yafikia Tamati,Show Mpya yazinduliwa ili kutoa nafasi zaidi kwa Muziki wa kizazi kipya.



.

 
Planet bongo kipindi kilichofikisha mpaka hapa muziki wa kizazi kipya leo May 30 kimefikia tamati.Akiongea kupitia EATV na EARadio leo dullah amesema "tunaomba radhi kwa wapenzi wa muziki wa kizazi kipya kwa sintofahamu iliyotokea toka tulipotangaza kuwa Planet Bongo imefikia tamati,sms zenu tuliziona na tulishindwa kuzijibu kutokanana na taratibu za kazi".
Planet bongo sasa itakua ikiruka kuanzia jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa saba mchana hadi saa kumi jioni.huku watangazaji na Dj's wakiongezwa ili kuboresha kipindi hicho na kuupa nafasi zaidi muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva)
Watangazaji;
1. Dullah
2. Kennedy The remedy
3.  Anna peter
Dj's;
1. Ommy Crazy
2. Dj Sinyorita(lady)
3. Dj Summer
Share on Google Plus

About WAZAMBUZI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment