Klabu ya Manchester City imejiandaa kutoa kitita kikubwa cha ela kwa
ajili ya kumsajili kiungo wa Juventus Paul Pogba. Wametuma kiasi cha
paundi millioni 86. Ambacho atakuwa amevunja rekodi ya dunia.
Japo kuwa kiungo huyo bado anaitajiwa na klabu nyingi barani ulaya.
0 comments :
Post a Comment